Wimbo mpya : FID Q FT BARAKAH THE PRINCE-MAFANIKIO

Msanii wa muziki wa Hip Hop Fareed Kubanda a.k.a Fid Q ameachia wimbo wake mpya unaoitwa “mafanikio” aliomshirikisha Barakah The Prince 

Kupitia ukurasa wake wa instagram Fid Q amesema Amelazimika kutoa wimbo huo kutokana na ile kauli ya watu kudhani kuwa kufanikiwa ni kumiliki usafiri. 

“Ile kauli ya mafanikio ni kumiliki gari  ndio iliyopelekea mimi kuona umuhimu wa kuandika hii ngoma ili watu wetu wapate kujua maana halisi ya kufanikiwa ”, ameandika Fid Q 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527