Wednesday, December 12, 2018

TAMASHA LA TIGO FIESTA KUFANYIKA VIWANJA VYA POSTA DAR DESEMBA 22

  Kanyefu       Wednesday, December 12, 2018
Uongozi wa Clouds media group umetangaza upya tarehe na sehemu itakayofanyika Fiesta kabla ya mwaka mpya baada ya mara ya kwanza kuahirishwa katika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam.

Ikumbukwe kwamba Fiesta ilifanyika karibia mikoa 15 nchini Tanzania lakini ilipofika wakati wa kufanyika hapa Dar Es Salaam ambayo ndio ilikuwa inafunga msimu mpya wa Fiesta ilisitishwa kwa madai kwamba sehemu ambako ingeenda kufanyika ingeleta taharuki kutokana na kelele zitakazojitokeza mahala hapo.

Uongozi wa CGM umetangaza tarehe mpya na sehemu ambako Tamasha hilo litafanyika

"Tarehe 22 Disemba kwenye Viwanja vya Posta DSM, Machampion wote wa nchi wanakwenda kutoa shukrani moja kubwa na kushangalia mafanikio ya mwaka huu. 


Ni mara 2 ya tulichokimiss: stage ya viwango, sound kubwa kuliko, bata la kihistoria na list ndefu ya machampion. . #TigoFiesta2018 ".Wameandika Clouds Media
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post