Tuesday, November 27, 2018

MFAHAMU MWANAUME ANAYEKULA MAYAI NA MAGANDA YAKE

  Malaki Philipo       Tuesday, November 27, 2018

Isaac Nyamwamu amekuwa akila mayai na maganda yake kwa miaka minane sasa.Mayai ya kuchemsha ni mlo muruwa ambao unaweza kuliwa wakati wowote wa siku. Isaac Nyamwamu,mkaazi wa mtaa wa Roysambu viungani mwa jiji la Nairobi Nchini Kenya amevumbua mbinu ya kupata utamu wote kutoka kwenye mayai.

Nyamwamu anakula mayai na maganda yake. Anasema kuwa kwa miaka minane amekuwa akila mayai namna hiyo.

Chanzo BBC
ZAIDI SOMA<<HAPA>>
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post