MBUNGE WA CHADEMA ATOLEWA BUNGENI...MARUFUKU KUHUDHURIA VIKAO HADI MWAKANI

Spika wa Bunge, Job Ndugai jana alimtoa nje ya bunge, Mbunge wa Mlimba, Suzan Kiwanga (Chadema) na kumtaka kutohudhuria vikao vya bunge hadi Bunge la Bajeti mwakani baada ya kuingilia hoja ya Mbunge wa Tandahimba Katani Ahmed Katani aliyekuwa akikanusha kujiuzulu ubunge.

Ndugai amemtaka Kiwanga kutohudhuria kikao cha mkutano wa bunge uliyobaki ambao, huku akimtaka kutoshiriki mikutano ya kamati za bunge na michezo ya bunge.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527