Rais Magufuli leo November 8, 2018 ametengua uteuzi na kumrejesha nchini aliekuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada Alphayo Japani Kidata.
Uamuzi huu umeanza tarehe 5 November 2018 .Pia Kidata ameondolewa hadhi yake ya ubalozi.
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok