WAITARA AIBUKA MSHINDI JIMBO LA UKONGA

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam, Mwita Mwikabe Waitara (CCM) ameibuka mshindi wa kiti hicho baada ya kupata kura 77,795 sawa na asilimia 89.1 huku mpinzani wake, Asia Daudi Msangi ( CHADEMA) akipata kura kura 8,676 sawa na asilimia 9.95.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.