HASSAN ASIMULIA ALIVYOLAMBA KIULAINI SHILINGI LAKI TANO ZA MOJASPESHO


Hassan Hassan 

Hassan Hassan (23), Mkazi wa Pugu jijini Dar es Salaam ni mshindi wa shilingi 500,000 kupitia Moja Spesho.

 Hassan  amebainisha kuwa alianza kucheza siku nne zilizopita, na siku zote hizo alidaka ushindi.

“Sikuy a kwanza nilishinda shilingi elfu tano, siku ya pili Elfu mbili, siku ya tatu Elfu moja na siku ya nne nikashinda laki tano.” amefafanua Hassan.

Hassan ameeleza kuwa, pesa aliyoshinda itamsaidia kusogeza mbele ujenzi wa nyumba yake aliouanza kabla ya kushinda.
Nawe pia unaweza kuwa mshindi kila siku na jackpot ya kila wiki.

 Jinsi ya kucheza Moja spesho ni rahisi

1. Nenda kwenye menu yako ya #Mpesa, #TigoPesa, #AirtelMoney au #Halopesa;

2. Chagua lipia bili

3. Ingiza kampuni namba 123255

4. Ingiza kumbukumbu namba zako 3 za bahati zikifuatiwa na neno SEE mf. 123SEE

5. Weka kiasi kuanzia sh 1000 na utakua umecheza #Mojaspesho.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527