MAYWEATHER NA PACQUIAO KUZICHAPA TENA


Floyd Mayweather kulia na Manny Pacquiao kushoto

Huenda Pambano la ngumi lililofanyika mwaka 2015 lililovunja rekodi ya kuwa na thamani kubwa kati ya bondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao likarudiwa tena baadaye mwaka huu.

Hiyo inakuja baada ya wawili hao kukutana uso kwa uso katika tamasha moja mjini Tokyo, Japan jana Jumamosi ambapo Floyd Mayweather kupitia video yake aliyoituma katika mtandao wa Instagram amesema ana mpango wa kurudia pambano hilo.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.