DIWANI MWINGINE WA CHADEMA AHAMIA CC AKIDAI CHADEMA INA MIGOGORO
Wednesday, August 15, 2018
Aliyekuwa Diwani wa kata ya Mambwenkoswe wilayani Kalambo, Kanowalia Siwale(CHADEMA) amejiuzulu na kujiunga na CCM
Siwale amedai kuwa sababu ya kujiuzulu ni kutokana na chama hicho kujaa migogoro ambayo haisaidii jamii na isiyoleta maendeleo kwa ujumla.
Amesema ameamua kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli katika juhudi za kuleta maendeleo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin