CCM YATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA DADA WA RAIS MAGUFULI
Monday, August 20, 2018
Chama cha CCM kimetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha dada wa Rais John Magufuli, Monica Joseph Magufuli, aliyefariki dunia jana asubuhi tarehe 19 Agosti, 2018 katika Hospitali ya Bugando jijini Mwanza alikokuwa anapatiwa matibabu.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin