AFYA YA WAZIRI KIGWANGALA YAZIDI KUIMARIKA

Waziri wa Maliasili na Utali Dr Hamisi Kigwangalla anaendelea kuimarika vizuri baada ya kupata ajali ya gari alipokuwa akitokea mkoani Arusha kuelekea Dodoma baada ya gari lake kupinduka na kusababisha kifo cha Afisa habari wa wizara hiyo Hamza Temba. 

Hapa kuna picha mbili akiwa ameweza kusimama mwenyewe nje ya Hospitali.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527