WAFAHAMU MBWA HATARI ZAIDI DUNIANI...WANA UWEZO WA KUKAMATA WATU SITA MARA MOJA

Kwa wale wapenzi wa ufugaji wa mnyama aina ya Mbwa ambapo inaelezwa kuwa kuna Mbwa wanafikia uzito wa hadi Kilo 150 waliochanganywa na mbegu za Simba na Chui wakiwa na uwezo wa kukamata watu 6 kwa wakati mmoja.

Afisa Masoko wa Mkuki Dog Kennel, Sylvester Luena anasema Mbwa wenyewe uwezo wa namna hiyo wengi wanachanganya mbegu katika mataifa ya nje kwa Tanzania hakuna.

“Jamii ya hao wanapatinakana Marekani, Afrika Kusini, Uingereza na mataifa mengine ambapo sisi tunafanya kuagizia na wana uwezo mkubwa wa kukamata hata watu 6 kwa muda,”. amesema Luena

Luena amesema kuwa Mbwa wa namna hiyo wanafundishwa jinsi ya kulinda na kukabiliana na wahalifu hasa kwa nyakati za usiku.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.