RAIS MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA JUMAPILI KANISA LA MTAKATIFU PETRO OYSTERBAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe wakishiriki katika ibada ya Jumapili katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe akipokea Sakramenti Takatifu wakati wa ibada ya Jumapili katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Julai 29, 2018 (Picha na IKULU)
Theme images by rion819. Powered by Blogger.