Wednesday, July 11, 2018

Utafiti : WANAUME HUWAZA NGONO MARA 500 KWA SAA

  Malunde       Wednesday, July 11, 2018
Utafiti umeonesha kuwa wanaume hasa vijana huwaza ngono muda mwingi kulinganisha na wanawake au vijana wa kike kutokana na sababu za kisaikolojia.

Akizungumza na www.eatv.tv mwanasaikolojia Dismas Lyaasa amesema kuwa wanaume kutokana na asili ya maumbile yao huwaza ngono kila baada ya sekunde tano mpaka saba.

"Kutokakana utafiti uliofanywa na taasisi ya uchunguzi wa masuala ya jinsia 'Kinsey Institute' kutoka Marekani chini ya daktari Alfred Charles Kinsey unaonesha kuwa mwanaume huwaza ngono mara mia tano kwa saa na mara elfu nane kwa siku sawa na saa kumi 16 ndani ya siku moja”, amesema Dismas

Aidha Dismas ameongeza kuwa jambo hili mara nyingi linawakumba wanaume ambao huelekeza mawazo yao kwa wanawake kila wanapokuwa karibu nao, na kwa ambao hawafanyi mazoezi ambapo miili hukaa kizembe na kusababisha ubongo kutopambanua mambo kwa wakati.

Hata hivyo Dismas amaeendelea kwa kusema matokeo ya jambo hili husababisha wengi kuanza kujihusisha na vitendo vya kujichua ‘masterbation’ na kupelekea wengine kuwabaka wapenzi wao au wasio wapenzi wao.

Chanzo- EATV
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post