Tuesday, July 3, 2018

MTOTO WA MUNALOVE 'PATRICK' AFARIKI DUNIA

  Malunde       Tuesday, July 3, 2018
Taarifa zilizotufikia muda huu ni kuhusiana na taarifa za kifo cha mtoto wa Munalove aitwaye Patrick ambaye amefariki Julai 3,2018 akiwa nchini Kenya akipatiwa matibabu.


Sababu za kifo chake hakijafahamika mpaka sasa, Rest In Peace Patrick.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Zamaradi Mketema ameandika “Tumejitahidi ila MUNGU ana mitihani yake, mikono inatetemeka ila ndio ukweli, PATY AMEFARIKI!! Pumzika kwa amani baba”
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post