Monday, July 2, 2018

MCHUNGAJI AKAMATWA KWA KUUZIA WATU TIKETI ZA KWENDA MBINGUNI

  Malunde       Monday, July 2, 2018

[​IMG]

Mchungaji mmoja nchini Zimbabwe anayeitwa Tito Wats anashikiliwa na polisi kwa kuwauzia watu tiketi za kwena mbinguni.


Anasema alitokewa na Yesu, akampa tiketi kibao kugawia watu wenye dhambi ili siku ikifika waingilie kwenye mageti ya mbinguni.

Bei ya tiketi moja ni USD 500 zaidi ya Millioni moja ya Kitanzania.

Alipokamatwa amesema hajali, maana anajua anateswa kwa sababu ya kufanya kazi ya Mungu.

Watu wengi wanaandamana kupinga kukamatwa kwa mchungaji wao, kwa sababu hizo pesa wanazotoa ni zao, na kwa hiyari yao kwa ajili ya uzima wao.

Source
Zimbabwe: Pastor arrested for selling tickets to heaven - Afrinik
Zimbabwe: Pastor arrested for selling tickets to heaven
It does not happen one day that news as weird ones, the others do not surface on the internet and this time, it’s a pretty awesome story about a Zimbabwean pastor.

In fact, a Zimbabwean pastor, Pastor Tito Wats, has been arrested by Zimbabwean police for financial crime

According to the police, Pastor Tito Wats told thousands of people that it was Jesus who had appeared to him, and then gave him tickets for $500, especially for sinners, so that they could also enter the paradise.

“I do not care what people or the police say about me, I’m persecuted because I’m doing God’s work.”

“Jesus Christ appeared to me and gave me the pure gold notes so that I could sell them to people who want salvation,” the pastor said bravely.

However, thousands of people protest against the pastor’s arrest and call on the police to release him immediately as they use their own money to buy salvation.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post