Aliyekuwa
Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mwidau Mkoa wa Tanga (CUF), amejivua
uanachama wa chama hicho kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa
kisiasa wa chama hicho na kujiridhisha na utendaji wa serikali ya awamu
ya Tano chini na Rais John Magufuli.
Aidha, Mwidau hajabainisha iwapo atajiunga na chama chochote cha siasa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin