CROATIA KUCHEZA FAINALI KWA MARA YA KWANZA ....YAIBABUA ENGLAND 2 - 1


CROATIA KUCHEZA NA UFARANSA FAINALI


MECHI IMEMALIZIKA; CROATIA 2-1 ENGLAND

Baada ya kutofanikiwa 1998, Croatia imetua fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza kwenye historia yake.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527