RAIS MAGUFULI AWAPANDISHA VYEO MAAFISA WA JESHI LA MAGEREZA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli amewapandisha vyeo maafisa nne wa Jeshi la Magereza kutoka Naibu Kamishna wa Magereza (Deputy Commissioner of Prisons - DCP) hadi kuwa Kamishna wa Magereza (Commissioner of Prisons - CP).

Pia Dkt. Magufuli amewapandisha vyeo maafisa wengine watano katika Jeshi hilo kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza (Senior Assistant Commissioner of Prisons - SACP) hadi kuwa Naibu Kamishna wa Magereza (Deputy Commissioner of Prisons - DCP).

Maafisa hao waliopandishwa vyeo kutoka DCP na kuwa CP ni kama ifuatavyo;
1. Hamis Ngarama
2. Tusekile Mwaisabila
3. Augustine Sangalali Mboje
4. Gideon Marco Nkana

Kwa habari kamili soma hapa chini kufahamu wengine waliopandishwa vyeo

Theme images by rion819. Powered by Blogger.