Thursday, June 7, 2018

NDEGE YAANGUKA NA KUUA WATU 10 MSITUNI

  Malunde       Thursday, June 7, 2018

Picha haihusiani na tukio

Ndege ndogo ya abiria iliyokuwa ikitokea mjini Kitale kwenda Nairobi iliyoripotiwa kupotea nchini Kenya mapema wiki hii imepatikana katika msitu wa Ababea huku watu 10 waliokuwa kwenye ndege hiyo wakiwa wamefariki dunia.

Kufuatia tukio hilo, Rais wa nchini humo Uhuru Kenyatta kupitia ukurasa wake maalum wa twitter amesema amehuzunika kusikia ajali ya hiyo ya ndege ndogo kuangua kutoka na hitilafu katika eneo la Kinangop.

Mbali na hilo, Rais Uhuru ameishukuru timu ya ufuatiliaji na ukoaji kutoka Mamlaka ya ndege ya Kenya kwa kuweza kulishughulikia jambo hilo kwa ukaribu sana na hatimaye kupata majibu yaliyokuwa yanastahili kwa kila mmoja kufahamu kilichotokea.Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post