BASI LA KING MSUKUMA LAGONGANA NA GARI DOGO GEITA


Habari kutoka mkoani Geita zinasema Basi la King Msukuma likitoka Mwanza kwenda Bukoba limepata ajali baada ya kugongana na gari dogo wilayani Geita leo Jumapili Juni 17,2018.
Inaelezwa kuwa watu watano wamefariki dunia na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa.
Bofya hapa kusoma zaidi : AJALI YA BASI LA KING MSUKUMA,GARI DOGO YAUA WATU WATANO,KUJERUHI 36 GEITA
Theme images by rion819. Powered by Blogger.