KIGOGO WA SERIKALI MATATANI KWA KUTUMIA FEDHA ZA WANANCHI KWA AJILI YA SHEREHE YAKE | MALUNDE 1 BLOG

Sunday, June 17, 2018

KIGOGO WA SERIKALI MATATANI KWA KUTUMIA FEDHA ZA WANANCHI KWA AJILI YA SHEREHE YAKE

  Malunde       Sunday, June 17, 2018
Seneta wa Australia aliyezaliwa nchini Kenya Lucy Gichuhi amejikuta kwenye wakati mgumu kaika vyombo vya habari baada ya kushtakiwa kwa kutumia fedha za walipa kodi kwa biashara isiyo rasmi.

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 56 ameshtakiwa kutumia dola 2139 (Ksh.216, 327) sawa na pesa za kitanzania 4879272 kusafirisha ndugu zake wawili kutoka Darwin kwenda Adelaide, Australia, kwa ajili ya sherehe yake ya siku ya kuzaliwa. 

Mfuko uliotumiwa na Bi. Gichuhi unasemekana kuwa unatumiwa na Wabunge wa bunge la Australia wakati wa kusafiri kwa kazi rasmi na kulipa wajumbe wa familia ili kujiunga nao katika bunge au uchaguzi.

"Mbali na vyombo vya habari kuripoti kuhusu gharama zangu za kusafiri, hili lilikuwa kosa la utawala linalohusisha kutokuelewa sheria za kusafiri. Nimeagiza idara kunipatia 'invoice' ili kulipia $2139".
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post