Video Mpya : NYANDA MADIRISHA OBHADO - MAISHA MAGUMU....NGOMA KALI BALAA


Ninayo hapa video mpya ya msanii wa Nyimbo za asili Nyanda Madirisha 'Obhado' Maliganya kutoka Kahama mkoani Shinyanga,inaitwa Maisha Madamu...Video imetengenezwa katika studio za Hardtone Videoz ikiongozwa na Director Manwell.Itazame hapa chini
Theme images by rion819. Powered by Blogger.