NG'OMBE AVALISHWA SIDIRIA ILI ASIPATE MAGONJWA

Dunia haishiwi vituko.....Mkulima anayejulikana kwa jina la Graham Burnet kutoka nchini Scotland amewashangaza wengi baada ya kuwa mbunifu kwa kumvalisha ng’ombe wake sidiria.

Aidha imeelezwa kuwa mkulima huyo anafanya hivyo kwa minajili ya kumkinga ng’ombe wake huyo asipate maambukizi kwenye chuchu zake.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.