MAZISHI YA MWANAMKE MZEE ZAIDI 'MIAKA 120+' YAFANYIKA SHINYANGA

Mazishi ya mwanamke anayedaiwa kuwa ndiye mzee zaidi mkoani Shinyanga bi. Lydia Gigwa Mussa mwenye umri wa miaka 123 yamefanyika leo jioni Alhamis Mei 31,2018 katika kijiji cha Kolandoto kata ya Kolandoto Manispaa ya Shinyanga.

Lydia Gigwa Mussa alizaliwa mwaka 1895 na amefariki dunia Mei 28,2018 wilayani Kahama kisha mwili wake kusafirishwa kwenda manispaa ya Shinyanga kwa ajili ya mazishi.Theme images by rion819. Powered by Blogger.