Wednesday, May 16, 2018

GIGY MONEY NAYE APATA DILI LA KONDOMU

  Malunde       Wednesday, May 16, 2018
Mwanamuziki wa Bongo fleva na video vixen maarufu Gifty Stanford maarufu kama Gigy Money amebahatika kupata dili nono la kuwa balozi wa Kondomu.

Baada ya Amber Lulu kutangaza wiki iliyopita kuwa amekuwa balozi rasmi wa Kondomu hatimaye na Gigy Money amekuwa msanii wa pili kupata dili hilo.

Gigy Money alitangaza habari njema hiyo Kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo aliandika:

"BALOZI WA BULL CONDOM (Jamani sahivi kwichi kwichi zangu zote natumia Kondomu mpaka Myrah akue)”.

Kwa upande wa gigy Money Dili hili limekuja katika wakati muafaka kabisa kwa sababu ndio kwanza amaetoka kujifungua hivyo ni wakati wake wa kusaka pesa.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post