DOGO JANJA ACHORA TATOO YA UWOYA KWENYE KWAPA

Kama mwezi tangu umepita Irene Uwoya alipoamuakuchora tatoo ya mume wake dogo janja kwa kuandika jina la Abdul ambalo ndio jina halisi la msanii huyo, mwanamuziki huyo nae ameamua kumjibu mke wake kwa kuchora tatoo kwenye kwapa.


Kuchora tattoo inaweza isiwe ishu, stori ni eneo ambalo tattoo yenyewe imechorwa si kawaida. Kupitia Instagram Dogo Janja ameweka picha hiyo na kuandika; I made this infinity Promise for you @ireneuwoya8 #NoMoreDramašŸŒ¹.


Dogo Janja na Irene Uwoya waliripotiwa kufunga ndoa November 25, 2017, hata hivyo ni vigumu kutaja tarehe kamili kutokana na namna walivyoliweka suala hilo hasa kwa upande wa vyombo vya habari na mitandao.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.