Video Mpya : HARMONIZE ft DIAMOND PLATNUMZ - KWANGWARU

Kutoka ndani ya WCB, Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kwangwaru ambao amemshirikisha mwanamuziki Diamond Platnumz.

Itazame video hiyo hapa chini;
Theme images by rion819. Powered by Blogger.