SIMBA YAICHAPA MTIBWA SUGAR 1 - 0

Simba SC Jumatatu ya April 9 2018 walishuka katika uwanja Jamhuri Morogoro kucheza na wenyeji wao Mtibwa Sugar.

 Simba ikiwa ugenini imefanikiwa kuondoka na point tatu katika uwanja wa Jamhuri Morogoro kufuatia kupata ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Emmanuel Okwi dakika ya 24.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.