Friday, April 27, 2018

DIAMOND,NANDY,LIPUMBA WATINGA BUNGENI

  Malunde       Friday, April 27, 2018
Wanamuziki Diamond, Nandy na Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba ni miongoni mwa wageni waliohudhuria kikao cha Bunge leo, Aprili 27, mjini Dodoma.

Wanamuziki hao pamoja na Lipumba walishangiliwa na wabunge baada ya kutambulishwa na mwenyekiti wa Bunge, Musa Azzan Zungu.

Mbali na wasanii hao na Lipumba, wengine waliotambuliwa ni mwanamuziki Mrisho Mpoto na msanii wa filamu Monalisa.


Zungu amesema wote ni wageni wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo. Bajeti ya wizara hiyo mwaka 2018/19 inasomwa leo.
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post