Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : NG'WANA NCHAINA - KABYALILE


Msanii Ng'wana Nchaina maarufu "Bhugakamba" kutoka Kahama ametualika kutazama video yake nyingine mpya mwaka 2018,inaitwa Kabyalile. Director katika video hii ni Manwell
Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com