Video Mpya : NYANDA BHETELI - BHUGANGA....NGOMA KALI BALAA ,NDUMBA NA WASANII

Ninayo video mpya kutoka kwa msanii Nyanda Bheteli kutoka Kahama mkoani Shinyanga,wimbo unaitwa Bhuganga. Video imetengenezwa katika studio za Passmedia. Wimbo huu unaelezea madhara ya wasanii wa nyimbo za asili wanotafuta kiki kwa kujigamba wana dawa "Ndumba" kuliko wengine.
Theme images by rion819. Powered by Blogger.