LAZARO NYALANDU ATUPIA UJUMBE WENYE UTATA FB...'NYUMBA YA URITHI HAIBOMOLEWI'


Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe Lazaro Nyalandu amefunguka na kusema kuwa nyumba ya urithi haiwezi kubomolewa na kudai kuwa tofauti za kisiasa, ukabila na dini haiwezi kuwa sababu kwa nyumba ya urithi kubomolewa.

Nyalandu amesema hayo kupitia mtandao wake wa Facebook akiwa nchini Kenya na kudai Utu, amani, haki, heshima ndiyo mshikamano wa Watanzania wote bila kujali tofauti za kisiasa wala dini zao. 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527