Picha : ALI KIBA AMTEMBELEA MAMA YAKE RAIS MAGUFULI

Leo Januari 28, 2018 Staa wa muziki wa Bongo Fleva Ali Kiba amepost picha kupitia ukurasa wake wa Instagram na kushukuru kwa baraka alizozipata baada ya kumtembelea mama mzazi wa Rais Magufuli akiwa Wilayani Chato mkoani Geita


Theme images by rion819. Powered by Blogger.