Video : NGOMA MPYA YA KISUKUMA YA LANDU HAMIS - DUNIA MZUNGUKO....NI BALAA MTUPU WAZEE WANASAKATA MDUNDOKama kawaida ya Malunde1 blog kukukutanisha na wasanii wa nyimbo za asili,leo tunakuweka karibu na msanii Landu Hamis,mwana mama machachari kutoka Bariadi mkoani Simiyu wimbo unaitwa Dunia Mzungumko...Tazama ngoma hii kali sana Theme images by rion819. Powered by Blogger.