DC GONDWE AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI | MALUNDE 1 BLOG

Monday, December 18, 2017

DC GONDWE AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI

  Malunde       Monday, December 18, 2017

KAIMU Mkuu wa wilaya ya  Korogwe,Godwin Gondwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani 
Tanga akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi  uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya Msingi Mazoezi wilayani humo  kushoto ni Meneja wa Mfuko wa Tafa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) 
Ally Mwakababu kulia ni Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe,Rehema Kwasi
Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima  ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu akizungumza katika uzinduzi 
huo kulia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Godwin Gondwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni anaye fuatia ni Katibu Tawala wa wilaya ya  Korogwe,Rehema Kwasi
Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe,Rehema Kwasi akizungumza wakati wa uzinduzi huo kushoto ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Godwin Gondwe kulia ni 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe,John Nyarongo 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri akizungumza wakati wa uzinduzi huo 
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Korogwe,John Nyarongo akizungumza katika uzinduzi huo 
Afisa Uanachama Mfuko wa Taifa wa  Bima ya Afya Mkoani Tanga(NHIF),Sophia akizungumza katika uzinduzi huo 
kulia ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga,Ally  Mwakababu 
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe  ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe kulia akiteta  jambo na Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF)  Ally Mwakababu wakati wa uzinduzi huo

Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe  ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe katikati akipata 
maelekezo ya namna huduma za upimaji wa afya na uzito zilizokuwa  zikitolewa mfuko huo wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi  wilayani Korogwe katikati ni Meneja wa Mfuko huo mkoani Tanga (NHIF) 
Ally Mwakababu
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe  ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe akiangalia huduma 
mbalimbali zilizokuwa zikitolewa wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto  Afya Kadi kulia ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)  Mkoani Tanga,Ally Mwakababu

Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni  Godwin Gondwe kushoto akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Mfuko wa  Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza wakati wa uzinduzi
wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani humo uliofanyika kwenye  viwanja vya shule ya Msingi Mazoezi wilayani Korogwe
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni  Godwin Gondwe kushoto akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Mfuko wa  Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza wakati wa uzinduzi
wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani humo uliofanyika kwenye  viwanja vya shule ya Msingi Mazoezi wilayani Korogwe
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni  Godwin Gondwe kushoto akipata maelezo kutoka kwa Daktari wa Mfuko wa  Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani humo uliofanyika kwenye  viwanja vya shule ya Msingi Mazoezi wilayani Korogwe
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe 
ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni  Godwin Gondwe akiagana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe 
mji,Jumanne Shauri mara baada ya kuzinduzi mpango wa toto afya kadi  kwenye viwanja vya shule ya msingi Mazoezi wilayani Korogwe kulia ni  Meneja wa NHIF mkoani Tanga,Ally Mwakababu

Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe  ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe katika kulia ni 
Katibu Tawala wa wilaya ya Korogwe,Rehema Bwasi kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Korogwe Mji,Jumanne Shauri na Meneja wa Mfuko wa Taifa 
wa Bima ya Afya Mkoani Tanga,Ally Mwakababu 
Kaimu Mkuu wa wilaya ya Korogwe  ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni,Godwin Gondwe akiwa kwenye picha
ya pamoja mara baada ya kufanya uzinduzi huo
Sehemu ya wananchi wa wilaya ya  Korogwe wakisubiri kupata huduma mbalimbali za upimaji wakati wa 
uzinduzi huo wa mpango wa toto afya kadi 
Sehemu ya wananchi wakisubiri huduma ya upimaji wakati wa uzinduzi huo
Daktari wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Lawi Kupaza kushoto akitoa huduma ya 
upimaji kwa wakazi wa mji wa Korogwe wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi wilayani humo uliofanyika viwanja vya Mazoezi 

Zoezi la Upimaji likiendelea kwenye uzinduzi huo
Wananchi wakisubiri kupatiwa  huduma ya upimaji kwenye banda la mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 
wilayani Korogwe wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya Kadi CHabari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Usikubali kupitwa na habari..Pakua App ya Malunde1 blog HAPA Ili tuwe tunakutumia habari moja kwa moja Kwenye Simu yako
Loading...
logoblog

Kama Una Habari,Picha,Video,Tangazo n.k Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 757 478 553 ,0625 918 527

Malunde 1 blog Ipo PlayStore....Pakua App yetu mpya HAPA Upate Habari Mpya Moja Kwa Moja Kwenye Simu yako..Utasoma habari hata kama hauna MB..Bofya Hapa
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.malunde.blog
Previous
« Prev Post