WANANCHI JIJINI MWANZA WAPATIWA TIBA YA VIUNGO NA USHAURI BURE
Thursday, November 30, 2017
Ni katika viunga vya Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza ambapo Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kimetoa fursa kwa wananchi kupata huduma ya tiba ya viungo na ushauri bure.Pichani ni Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza, Dkt.Leonard Subi akifungua kongamano hilo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella.
Rais wa Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, bi.Neophita Lukiringi akizungumza kweny uzinduzi huo.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin