Live : TAZAMA HAPA MUBASHARA MATUKIO YANAYOJIRI UCHAGUZI MKUU KENYA 2017

Leo Agosti 8, 2017, wananchi Kenya wanapiga kura kumchagua Rais atakaye iongoza nchi hiyo.Tazama hapa moja kwa moja kutoka nchini Kenya kufahamu yote yanayojiri muda huu katika zoezi la upigaji kura ambapo Rais wa sasa Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ndiyo wagombea wakuu wa kiti hicho.

TAZAMA HAPA CHINI

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post