BASI LA SHARON LA DODOMA - ARUSHA LAPINDUKA NA KUUA WATU WAWILI BABATI

Basi la kampuni ya Sharon lililokuwa litatoka Dodoma kwenda Arusha, limepinduka eneo la mabanzini mjini Babati na kusababisha vifo vya watu wawili huku wengine wakijeruhiwa.


Majeruhi wa ajarili hiyo wamepelekwa hospitali ya Mrara mjini Babati.


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara akizungumza juu ya ajali hiyo alisema kondakta na mtoto mdogo ndiyo walifariki.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post