HALIMA MDEE : TUNAMSINDIKIZA NDESAMBURO KWENYE NYUMBA YA MILELE POROJO ZA DODOMA HAZINIUMIZI KICHWA

Baada ya kupatiwa adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge vilivyobakia Mbunge wa Kawe Mh. Halima James Mdee ameibua mapya na kusema porojo za Dodoma hazimuumizi kichwa na badala yake anaangalia zaidi suala la kumsindikiza Muasisi wa chama.

Kipitia ukurasa wake wa twitter Mh. Mdee ameandika kwamba

"Tunamsindikiza jemedari wa mageuzi Mhe. Philemon Ndesamburo kwenye nyumba ya milele!, porojo za Dodoma haziniumizi kichwa" aliandika Mdee kupitia ukurasa wake wa twitter.
Tunamsindikiza jemedari wa MAGEUZI MHE PHILEMON NDESAMBURO kwenye nyumba ya milele!Porojo za DOM haziniumizi kichwa!


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post