
Leo May 8, 2017 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza maelfu ya watanzania kuaga miili ya watu 32 waliofariki kwenye ajali ya gari katika maombolezo ya kitaifa yaliyofatika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid.
Ajali iliyoua watu 32 papo hapo nchini Tanzania wakiwemo Wanafunzi 29 wa shule ya St. Lucky Vicent na watu wazima watatu wakiwemo Walimu na Dereva, ni habari kubwa sio tu Tanzania bali hata kimataifa.
Katika kuhakikisha taarifa zinasambaa duniani kote mitandao mingi ya kimataifa imerusha habari hii wakiziandikia headlines mbalimbali lakini iliyoonesha kusikitishwa na tukio hilo.
The New York Times

NBC NEWS

ABC News

The Telegraph

Africanews

DAILY NATION

FOX NEWS World

The Daily Telegraph

YAHOO NEWS

EXPRESS

Social Plugin