Ninayo hapa ngoma mpya ya Msanii "Machupi" inaitwa Mwajuma. Machupi alikuwa mnenguaji wa gwiji wa nyimbo za asili Bhudagala Mwanamalonja na sasa amejitegemea na kuanzisha kundi lake kama alivyofanya aliyekuwa mnenguaji wa Bhudagala Kundi wa Ng'wa Moto ambaye naye sasa ana kundi lake amejitegemea.
TAZAMA NGOMA HII KALI YA MACHUPI HAPA CHINI