Picha : EFM YAKABIDHI PIKIPIKI KWA WASHINDI WA SHIKA NDINGA WILAYA YA KINONDONI
Washiriki wanaume  shindano la Shika Ndinga wakiwa na majaji katika hatua za awali za shindano hilo
Washiriki wa Kike wa Shindano la Shika Ndinga linalo andaliwa na kituo cha Radio cha Efm wakiwa katika mbio za kujaza vikombe kabla ya kuingia katika raundi ya pili
washiriki wakiwa katika mchuano mkali wa kujaza vikombe maji
Kikundi cha muziki cha Wadada kutoka mkubwa na Wanawe wakitoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wa EFM waliofika katika shoo hiyo.
Sehemu ya banda la wadhamini wa shindano hilo , Property Internationala wanao jihusisha na uuzaji wa Viwanja.
Afisa Masoko wa Kampuni ya Property International ,Leila Mahingu akizungumza na wakazi wa Kinondoni juu ya umuhimu wa kuwa na kiwanja chenye hati
Washiriki wa Kiume waliongia tano bora katika shindano la Shika ndinga wakiwa katika kinyang'anyiro
Wanawake walioingia katika hatua ya tano bora ya shindano la shika ndinga wakipambana kupata mshindi atakayeondoka na pikipiki
Washiriki wa kike waliongia fainali kumtafuta mshindi
Washiriki wa Wanaume wakiwa hatua ya fainali kumpata bingwa atakayeondoka na pikipiki
Mshindi wa shindano la Shika ndinga katika Wilaya ya Kinondoni , Alphonce Daudi akisaidiwa na watu wa msalaba mwekundu kushuka chini
Mshindi wa shindano la Shika ndinga katika Wilaya ya Kinondoni , Alphonce Daudi akisaini mkataba wa kuwa mshindi wa shindano lashika ndinga huku akiwa amesimamiwa na Afisa Uhusiano wa Efm Neema Makarasi
Mshindi wa Shindano la Shika ndinga na Efm kwa Wanawake Wilaya ya Kinondoni Rehema Nassoro akisaini hati ya kumtambua kuwa ndio mshindi wa shindano la Shika ndinga
Afisa Uhusiano wa Efm Neema Makarasi akiwavisha makoti na vifaa vya pikipiki washindi wa shindano hilo
Afisa Uhusiano wa Efm Neema Makarasi akikabidhi pikipiki kwa Alphonce Daudi ambaye ni mshindi
Afisa Masoko wa kampuni ya SanMoto akikabidhi funguo kwa shindi wa shindano hilokwa Wanawake. 
Picha zote na Humphrey Shayo wa Globu ya Jamii

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post