Mtazame hapo chini Mbunge Nape akiamriwa kurudi ndani ya gari mara tu alipofika katika Hoteli ya Protea kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Nape na Kumteua Mwakyembe kuchukua nafasi hiyo.
Our website uses cookies to improve your experience. Learn more
Ok