Video: JINSI MSANII HARMORAPA ALIVYOTIMUA MBIO BAADA YA POLISI KUTOA BASTOLA MBELE YA NAPE NNAUYE


Leo Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Nape Nnauye na nafasi yake amepewa Dr. Mwakyembe.


Baadaye Nape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na waandishi wa habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.

Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo lakini alizuiwa na askari huku wakimrudisha ndani ya gari.

Katika sakata hilo, Askari mmoja aliamua kutoa bastola na kuielekeza kwa Nape. Msanii Harmorapa alikuwepo jirani na Nape wakati tukio hilo likitokea...

==>Mshuhudie hapo chini alivyotimua mbio baada ya bastola kutolewa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post