MSIKILIZE HAPA MBUNGE WA SHINYANGA MJINI AKITOA MSIMAMO WAKE KUHUSU NJAA KWA WANANCHI

Mbunge wa jimbo la Shinyanga Mjini,mheshimiwa Stephen Masele akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara eneo la Fire/jeshi la Zimamoto na Uokoaji Nguzo Nane mjini Shinyanga ambapo aliwakaribisha wananchi waeleze kero zinazowakabili huku hoja ya njaa ikijitokeza
Mkazi wa Shinyanga mjini,akieleza kwa uchungu kuhusu njaa inayowabili wakazi wa Shinyanga kutokana na bei ya chakula kupanda

SIKILIZA HAPA CHINI WANANCHI WAKIELEZEA JINSI WANAVYOKABILIWA NA NJAA MKOANI SHINYANGA ,NA MSIMAMO WA MBUNGE WA JIMBO LA SHINYANGA KUHUSU NJAA

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post