ASKOFU GWAJIMA NAYE ATINGA POLISI LEO BADALA YA KESHO KUITIKIA WITO WA MAKONDA..AMESINDIKIZWA NA WAUMINI WAKE

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,Mchungaji Gwajima akionekana kufurahia jambo wakati akiwasili kituo cha polisi kati majira ya saa 7:30 mchana akiwa ameongoza na wafuasi wake,kutii agizo la Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,ambaye watuhumiwa wote 65 aliowataja jana katika sakata la dawa za kulevya,aliwataka kufika kesho Ijumaa saa 5 asabuhi kituo cha Polisi kati kwa mahojiano zaidi.
Wafuasi wa Askofu Gwajima wakiwa wanawasili kituo cha Polisi kati
Polisi wakiwatawanya wafuasi hao wa Askofu Gwajima na kuwataka kukaa umbali wa mita 100 kutoka kituo cha Polisi
Polisi wakiwatawanya wafuasi hao wa Askofu Gwajima na kuwataka kukaa umbali wa mita 100 kutoka kituo cha Polisi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post