ANGALIA PICHA BILIONEA ANAYEMILIKI FACEBOOK MARK ZUCKERBERG AKIPIKA CHAKULA JIKONI

Wanasema Mabilionea wengi huwa hawana muda wa kufanya vile vitu vya nyumbani sababu wanatumia muda wao mwingi sana kusafiri na kufanya kazi, lakini kwa Mmiliki wa Facebook ni kwamba huwa hatoi picha za kila siku lakini huwa anaingia jikoni mara kwa mara.

Bilionea Mark Zuckerberg ambaye mara nyingi huonekana amevaa Tshirt ya aina moja wakati wote, ametuonyesha picha akiwa jikoni anamsaidia mke wake kupika na kazi nyingine za jikoni.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post