HII HAPA ORODHA YA MIJI 10 DUNIANI INAYOONGOZA KWA VURUGU
Wednesday, February 01, 2017
Kila kitu kina rekodi zake siku hizi ambapo kwenye post hii ni zamu ya kuifahamu miji ambayo vurugu kwao sio kitu kigeni wala cha kustaajabisha, ni vitu vinatokea kwenye mazingira yao mara kwa mara.
10. CALI, COLOMBIA
9. CAPE TOWN, AFRIKA KUSINI
8. PALMIRA, COLOMBIA
7. VALENCIA, VENEZUELA
6. DISTRITO CENTRAL, HONDURAS
5. MATURIN
4. ACAPULCO, MEXICO
3. SAN SALVADOR, EL SALVADOR
2. SAN PEDRO SULA, HONDURAS
1. CARACAS, VENEZUELA
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin