TAZAMA VIDEO YA GWIJI WA NYIMBO ZA ASILI MWANAKWELA - SHEREHE YA SAMAKA
Sunday, January 29, 2017
Tunayo Ngoma mpya ya Gwiji wa Nyimbo za Asili "Mwanakwela" maarufu Ngimbili Magoso kutoka wilayani Kahama mkoa wa Shinyanga inaitwa Sherehe ya Samaka
Wanenguaji wake ni balaa mtupu wanakatika utafikiri hawana mifupa
Bonyeza Play Hapa chini Kutazama Ngoma ya Mwanakwela 'Sherehe ya Samaka'
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin